James 2:15-16

15 aIkiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula, 16 bmmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?
Copyright information for SwhKC